NEW

6/recent/ticker-posts

Advertisement

Online Money-Making Ideas.

Online Money-Making Ideas.

  1. Affiliate marketing: You can earn money by promoting products or services on your website or social media channels and earning a commission for every sale made through your unique affiliate link.

  2. Online surveys: Companies are willing to pay people for their opinions on products and services. You can earn money by completing online surveys for market research companies.

  3. Freelance writing: If you have a talent for writing, you can make money by creating content for blogs, websites, or magazines.

  4. Selling products on online marketplaces: You can sell your own products on popular online marketplaces like Amazon, eBay, or Etsy.

  5. Online tutoring: You can earn money by offering your expertise in a particular subject and tutoring students online.

  6. Dropshipping: You can create an online store and sell products without holding inventory. You can purchase products from a supplier and ship them directly to customers.

  7. Social media management: You can help businesses manage their social media channels and create engaging content.

  8. Virtual assistance: You can offer administrative support to businesses or entrepreneurs remotely, such as managing emails, scheduling appointments, and data entry.

  9. Online courses: You can create and sell online courses on a variety of topics, from cooking to marketing to programming.

  10. Blogging: You can make money by creating a blog and earning revenue through advertising, sponsorships, and affiliate marketing.

Top ten ways to make money online na mwandishi Lewis howes

Kwa uzoefu wangu watu wengi wanapotaka kuanza kufanya biashara Online or Offline. Hua wanafikiria njia moja au Mbili. 

Kununua Bidhaa kutoka sehemu fulani au Kutengeneza hio bidhaa na kuiuza dukani or ikizidi sana mtandaoni kupitia Instagram au Facebook wachache kwenye website. Leo nimewaletea Business Models zingine 10. Ambazo unaweza kutumia kupiga hela. 

Tukirejea kwenye Makala nilioandika mara ya mwisho. Kama bado haujausoma tafadhali usome Halafu rudi kumalizia Makala hii. Leo nitatoa mfano wa wazo moja la biashara mbalo unaweza tumia njia zaidi ya 10 (10 Business Models) tofauti kuweza kufanikisha kujipatia pesa. 

Kwa nini tunatakiwa kujifunza kuhusu hizi business modes? Kila mtu ana mfumo wake wa maisha, ujuzi pamoja na interest zake. Mfano wewe ni mwajiriwa unaingia kazini asubuhi mpaka saa moja jioni. Ukitaka kufanya biashara ya aina flani itakua ngumu kwako 

Kuna watu hawapendi kukaa/kuishi eneo moja (dukani), wengine wanapenda kutumia internet, wanapeonda kuandika, kuongea, kufundisha, nk. Kuna watu wana mitaji ya biashara na wengine hawana. Hizi zote zitakusaidia kuchagua business model gani utumie kwenye kuanza biashara yako. 

Mifano yangu ya leo nitatumia eneo moja la Health. Eneo hili ni most profitable kwa sababu Haijalishi mtu ana status gani, atahitaji kua na furaha na afya na mtu yupo tayari kununua bidhaa au huduma ambayo itamsaidia kutimiza hilo. 

Kumbuka sio lazima uwe professional au expert kwenye hili eneo ili uweze kupiga hela. Unaweza kushare your own experience, Ukafanya research na ku share information umezipata kutoka sources zingine, Unaweza kumfanyia mtaalam interview, nk. Soma zaidi chini.. 

Eneo la Health ni eneo pana sana. Tuseme kwa leo umechagua kudeal na Weight Loss (Kupunguza Uzito). Eneo hili pia unaweza enda chini zaidi. Kupunguza uzito kwa watu ambao wako busy, Kupunguza uzito kwa wanaume/wanawake/watoto/wazee, Kupunguza uzito kwa wenye kisukari, etc. 

Watu wengi wakishaona fursa kama hii atataka kukimbilia kutafuta au kutengeneza product/solution ambayo inatatua tatizo hilo hapo ndio mtu anakumbana na vikwazo kama mtaji, eneo alilopo (mfano nipo kijijini), muda wa kufanya biashara, Ujuzi, (insert vikwazo vingine hapa) nk. 

Kwa sisi wafanya biashara wa mtandaoni kwenye eneo hili la afya. Huhitajiki kutengeneza bidhaa zako especialy tena kama ndio mfanyabiashra mpya kwenye eneo hili. Kuna options (Business Models) ambazo unaweza kuzitumia. Kwa kutumia mfano moja, Kupunguza uzito kwa wanawake 

1. Tengeneza YouTube channel ambayo humo unakua unatoa tips mbali mbali specifically kuhusu kupunguza uzito kwa wanawake, Kuna contents nyingi unaweza weka, tips za mazoezi, aina za vyakula, accesorries gani za kununua mfano smart watch, fanyia interview wataalam wa hilo eneo. 

Jinsi ya kupata Hela: Matangazo ya Youtube, Matangazo ya wafanyabiashara mfano watu wa forever living, Affiliate Products links (ntaongelea hapo chini), Uza hizo bidhaa unazo recommend kwenye channel yako, Uza ebook, etc Hii huhitaji kua na viwers wengi kupata pesa. 

2. eBook: Kama unapenda kuandika. Andika kitabu kuhusu hio topic. Kupunguza uzito kwa wanawake. Then kiuze online. Uzuri wa Business Model hii gharama yake ni ndogo na faida kubwa na huna limit ya kuuza kitabu chako Tanzania tu. Na unaweza kukiuza milele. 

3. DropShiping. Hii ni business model ambayo wewe unakua na online shop ambayo mteja akihitaji bidhaa anakulipa pesa yako wewe unaenda kununua hio bidhaa kwa bei ya chini sehemu nyingine halafu huyo muuzaji anamtumia mteja directly bila bidhaa kuja kwako.  (Somo la siku nyingine) 

4. Affiliate Marketing: Kiufupi wewe unakua unauza bidhaa za watu wengine but sio kama dropshipping, Hapa huchukui pesa yoyote bali unawadirect wateja waende kwenye duka flani mtandaoni kupata bidhaa flani. Wewe unapata commision % Kila mtu anaponunua hio bidhaa kwa hio duka 

5. Professional Blogger: Hapa ni kama Youtube but tengeneza blog yako BURE ambayo humo unakua unatoa tips mbali mbali specifically kuhusu kupunguza uzito kwa wanawake, kisha utapiga noti kwa matangazo, nk. (Kuna njia kama 10 za kupiga hela kwa blog. Next time ntaelezea) 

6. Membership Website: Hii ni webiste unatengeneza ambayo unakua unauza membership. Specifically kwa wanawake ambao wanataka kupunguza uzito. Humo utakua unatoa tips na mafunzo mbali mbali. mfano slimmingworld.co.uk Hii inaweza kufanyika hata kwa whatsapp/Telegram group. 

7. Nutrition, Workout & Meal-prep Plans: Hizi ni plans za mazoezi au misosi ya kunguza uzito. Unatengeneza na kuziuza either kwa website yako au Kwa whatsapp. Mfano nutrisystem.com Possibilities are endless here. Ni wewe tu na ubunifu wako 

8. Coaching/Mentoring: Hii inaweza kua online exercise instructions, etc. Za kupunguza uzito kwa wanawake. Kwa wale professional na experts wa hili eneo hii inawafaa. 

9. Subscription Box: Hii inakua kama membership mtu anajisajili na anakua analipia let say kwa mwezi wewe unakua unampelekea kila siku misosi flani ya kupunguza uzito.  (Inaweza kua misosi au kitu chochote, BE creative) 

10: Kwa wale ambao wamezoea kuuza physical products hapa unaweza uza Weight Loss Suppliments, Equipments, Accessories kama Smartwatches, Sliming Tea, Sliming Belt (Dumb Product), etc Fanya research ach uvivu (SIKUFOKEI) 

BONUS TIPS: Unaweza kua Women Weight Loss Influencer, Wewe mwanzo mwisho unatupa tips tu za weightloss, then brands mbali mbali zikakupa mchongo.  Also unaweza kutengeneza weight loss app kama upo vizuri kwa codes or pay someone to do it for you  example loseit.com 

ANGALIZO: I’ll be frank and tell you that your options are limited if you have absolutely no money to invest in an online business. However, its possible to start from nothing, and some of the business models that I ve mention in this guide costs almost 0$ to start. 

Lastly this is not a get rich quick scheme. It needs dedication and hardwork. Pia hizo business models hapo juu nimezigusia tu. Jaribu kupoteza muda wako YouTube, Google chimba zaidi. Asante Kwa kusoma.

Post a Comment

0 Comments