NEW

6/recent/ticker-posts

Advertisement

Jifunze Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Unga na ya maji.

 Ili iitwe sabuni inatakiwa 

  1.  -Ngumu kuiisha 
  2.  -Yenye povu jingi 
  3.  -Nyeupe

KAMA UNATAKA KITABU CHA MAFUNZO CHA KUTENGENEZEA SABUNI N.K  AMBAYO HAYAPO POPOTE UTAYAPATA KWENYE KITABU HIKI BONYEZA HAPA 

Buy on

VIAMBATA VYA kutengenezea sabuni 

  1. Mafuta-mawese,mise,wanyana 
  2. Maji 
  3. Caustic soda(costiki soda)

VIFAA VYA KUTENGENEZEA 

  1. Ndoo za plastiki lita 20 nne 
  2. Diaba 1 
  3. Mti wa kukorogea 
  4. Mashine ya kukorogea 
  5. Box la kugandishia 
  6. Mhuri wa biashara 
  7. Mzani wa saa 
  8. Vibao vya kukatia

VIFAA VYA USALAMA 

  1. Mask 
  2. Groves 
  3. Gum boots 
  4. Goggles (miwani) 
  5. Overall 
  6. Ndoo ya maji au mchanga

FORMULA

mafuta lt1+caustic soda grm135+maji mls350+sodium siligate prm100. 

KUCHANGANYA

pima maji ktk ndoo ya plastic kisa weka caustic soda ktk maji weka kidogokidogo huku ukikoroga mpaka itakapo yeyuka.mchanganyiko huu unaweza kuchemka na kutoa mosh usiogope. acha ipoe kuanzia masaa 8 nazaidi. 

KUCHANGANYA NA MAFUTA

yeyusha mafuta kwa kuyapasha joto kidogo ambapo unaweza kuyashika, tia sangi na mimina kidogo2 kuchanganya michanganyiko huku ukikoroga. mimina kwenye box la kugandishia acha igande tayari kwa kukata.Pia weka sodium siligate.

KAMA UNATAKA KITABU CHA MAFUNZO CHA KUTENGENEZEA SABUNI N.K  AMBAYO HAYAPO POPOTE UTAYAPATA KWENYE KITABU HIKI BONYEZA HAPA 

Buy on

Hakimiliki©2022 Jumanne255 Haki Zote Zimehifadhiwa. Makala hizi hutolewa kwa ajili ya kuboresha maisha yako. Ruksa "kushare" na usibadili kitu chochote bila ya idhini/ruhusa ya mwandishi.

Post a Comment

0 Comments