NEW

6/recent/ticker-posts

Advertisement

VITAMBULISHO VYA TAIFA AMBAVYO HAVIJACHUKULIWA NA WAHUSIKA


Descriptions

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), inawaomba wananchi walioomba Vitambulisho vya Taifa na hawajavipata, kutembelea tovuti ya mamlaka www.nida.go.tz ili kufahamu vitambulisho vilivyozalishwa na kusambazwa katika ofisi za kata, shehia, mitaa, na ofisi za NIDA wilayani na hivyo kwenda kuvichukua kwani bado kuna vitambulisho vingi havijachukuliwa.

Aidha, mwananchi anaweza kupitia orodha zilizobandikwa katika ofisi za nida za wilaya.

Kwa mawasiliano zaidi: piga simu namba:  0677 146 666; 0777 740 006; 0752 000 058 au 0687 088 888.

Tangazo hili limetolewa na:

Kitengo cha Mawasiliano na Hifadhi hati
Mamalaka ya Vitambulisho vya Taifa  (NIDA)
Barabara ya Kilimani,
S.L.P 12324, Dar es Salaam, Tanzania.
Barua pepe: info@nida.go.tz

Post a Comment

0 Comments